Mmmmmh!
>> Sunday, March 27, 2011
MGUNO mmmmH!,...
.... ni kukubali.
MGUNO ni kiashirio kwa umpendaye kuwa afanyavyo vinakusikilizisha UTAMU.
MGUNO ni sauti katika kustuka.:-(
MGUNO ni TAARIFA hata KINYAMA kuwa inauma,...
.....kwa hiyo MGUNO ni MAUMIVU.:-(
KUGUNA ni kukataa!
MGUNO ni SENTENSI katika TAARIFA hata kama kimaandishi yawezachukuliwa KAMA sio sentensi.:-(!
Swali:
- Unafikiri mara ya MWISHO ulivyoguna ulikuwa unamaanisha nini?
- Kwani unafikiri ulistukia mara ya mwisho ulivyoguna au ni wengine LABDA ndio walisikia na kustukia uliguna kwa kuwa labda ni wengine ndio ambao wanajua nakusikia yako?
Ndio,...
...inasemekana kunakuguna bila sauti,...
......na hili ni WAZO tu MHESHIMIWA!:-(
Hebu Raphael Saadiq aanzishe tena upya- Good Man
Brick warudie - Fun
Ndio India Arie na AKINYELE wali sampo BRICKS katika biti hili ingawa AKINYELE anamatusi kama hivi kwenye BITI HILIHILI kikidude-Put It in Your Mouth
Wakati eti India Arie biti HILIHILI aliliweka mdomo safi katika-VIDEO
Sijui kwanini lakini ,...
...ila labda hebu Brick wazime manyanga kwa - Ain't Gonna Hurt Nobody
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment