Kama unataka kuelewa MSHAHARA wa WALIMU msikilize Taylor Mali katika - "What Teachers Make"
>> Monday, March 28, 2011
Nahusudu SHAIRI hili la TAYLOR MALI ,...
.... ambalo nafikiri linadaka maswala ya fanyayo Prof. Mbele , Mwalimu Nyerere, Mwalimu Kheri Kitururu, Prof. Matondo na Mtakatifu N.N. MHANGO ...
....bila kumsahau akaribiaye kufikia uprofesa MALKIORY .W. MATIYA enzi zake za KUTICHI na,...
...na WALIMU WENGINE wote WENGI niwaheshimuo ,...
...ni walimu na pia kuendelea kufanya kazi muhimu HII ya kufunndisha ya UALIMU ,...
....HEBU tudake tu mpekecho wake ki MADUNGURUDU .....
5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kitururu: unaonaje walimu hawa wakishikamana kwa pamoja chini ya uenyekiti wako kuanzisha shule ya demonstration kule nyumbani tz, shule ambayo itakuwa free from politics!
kaka Malkiory itakuwa shule bomba na ya kujivunia!!!!!!!!
Rachel: Unajua elimu yetu ya Tanzania inakosa dira na mwelekeo kwasababu ya kuingiliwa na wanasiasa. Wanaanzisha shule za kata kama utitiri bila kujali vitendea na vitendewa kazi. Mitaala yenye haiendani na wakati.
Nikweli kaka Malkiory: na hizo shule za kata akienda kuweka jiwe la msingi au kufungua basi,harudi tena hapo.Na hizo shule watoto wao hawasomi kaka yangu!!.
@Mkuu M.W.M: Itakuwa powa sana!
Ila tatizo inasemekana ni vigumu kuachanisha watu na Politics. Kama isemekanavyo huwezi kuachanisha pia shule zimilikiwazo na dini na UDINI!:-(
...ingawa kama kwenye comment uliyomjibu Rachel -nahisi shule zetu BONGO siasa imeingilia mpaka imezidi yani.
Na inajulikana too much of anything is not a good thing.
Post a Comment