Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mtu anapotafutia UKWELI,....

>> Thursday, March 03, 2011

........inaweza kuwa ndio kipotoshacho uhalisia wa KWELI yenyewe!:-(
Swali:
  • Si ukweli kuhusu UISLAMU labda pakuutafutia sio kwenye UKRISTO?
  • Na ukweli  WA KWELI kuhusu AFRIKA si labda pakuutafutia ni AFRIKA na sio MAREKANI au ULAYA? NI hilo tu ,....
......na ni WAZO TU hili MHESHIMIWA!:-(


Tubadili WAZO kwa kuangalia kitu....

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP