Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kabla sijaacha UjingaBUSARA hapa KIJIWENI leo na kwa siku mbili TATU nne hivi!:-(

>> Saturday, March 12, 2011

Au kabla sijaaga vizuri niseme tu,...
Tutakutana kijiweni hapa Jumanne, ...

.....Jumatano ,....
.....au Alhamisi hivi ila sina uhakika,....
....inategemea tu kama unaamini MUNGU- ile kitu  MOLA akipenda!:-(
Tuko Pamoja MDAU!

9 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:13 pm  

Ahsante kwa kutujuza na kutuaga. Uwe na wakati mzuri na Mola atakujaliwa tu na utakuwa mzima.

EDNA 4:14 pm  

Jamani tutakumithiiiiiiiiii.Haya enjoy yourself mkaka.

Anonymous 6:08 pm  

kazi na dawa, mtakatifu we kula tano wala usikonde.ila kila kitu kwa kiasi.
kaka s

Swahili na Waswahili 8:21 pm  

Mungu akutangulie kwa yote!ukirudi kaka utuletee zawadi!.

Goodman Manyanya Phiri 12:43 am  

Tutafanya subira huku tukiwa tunakuombea ili upate mafanikio unakokwenda.

Mija Shija Sayi 10:09 am  

Asante kwa taarifa, ila Kitururu inaonyesha una aibu sana.

Mcharia 4:04 pm  

Mmm!

Waweza kuwa jasiri usitoe chozi msibani, kukabiliana na simba au janga la moto! @ Mija Shija.

Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI. Jamii yote itakusifu, hongera!

Mmmm!
SoNga mbele! ila sio ujinga busara labda ni falsafa ndani ya neno mawazoni.

Pamoja na hayo unahitaji kitu bora zaidi, "kwanza heshima yako mkuu"!

Kuwa jasiri tafuta na kutunza mali watoto na jamii watakusifu naam watakuheshimu zaidi sana.

NAKUNGOJA HAPA HAPA HATA KAMA KUNA BARIDI ila pia NINAKUOMBEA AFYA, UZIMA NAAAA...MKE UNAYE????

SIMON KITURURU 2:15 pm  

@Wote: Asanteni jamani!
@Da MIja: Yani naaibu sana mimi na ni mpole sana kamahujui!

Wewe umestukiaje hiyo siri?

SIMON KITURURU 5:03 pm  

@Mcharia:Maswala ya Mke na Watoto nafanyia kazi! Work in progress!

Lakini mazoezi kiaina ya utengenezaji wa watoto na jinsi ya kuwa na mke nafanyiakazi!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP