Kwa kuwa SHOMBO ya SAMAKI si PAFYUMU ila inazoeleka ukiishi pembeni ya SOKO la SAMAKI!:-(
>> Thursday, March 31, 2011
Ndio,...
..... SAMAKI ni MTAMU hasa kama wewe sio MMASAI ajulikanaye kuwa ni upendaye NYAMA TU ,...
... lakini hata HIVYO apendaye SAMAKI bado kwake kuna SAMAKI wenye MIBA aisee!:-(
Swali:
- Au?
Kwa hiyo kwa kuwa SAMAKI ni MTAMU kwa apendaye SAMAKI,...
... bado labda TAFUNA kwa UANGALIFU usichokiona MIBA usijechomwa MIBA aisee!:-(
Swali:
- SI nasikia SAMAKI kibao WENYE MIBA CHOMACHOMA kwa nje hawaonekani kuwa wana MIBA?
NI wazo tu hili MHESHIMIWA,...
....na NENO SAMAKI ukilioanisha na KIRUKA NJIA au tu LIMTU LAKO udhanialo ni shwari kwa kuwa KWA NJE LIMENONA kimtazamo wako ,....
..... MIYE SIMO!:-(
Hebu twende BRAZIL ili Gilberto Gil abadili wazo hili nyoko kwa kurudia-Waiting in vain
Gilberto Gil aje na Stevie Wonder wazingue..
Au tu Gilberto Gil azime sesheni HII kwa - Buffalo Soldier
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment