Kwa kuwa KIWAZWACHO chooni LABDA kinawazika hata CHUMBANI!:-(
>> Thursday, March 31, 2011
Ila bado kuna ambayo huwazika zaidi CHOONI kwa kuwa,...
... ni rahisi kuyakumbuka ukiwa MSALANI.:-(
Swali:
- Si unakumbuka kuna mambo unayakumbuka tu kirahisi ukiwa na NJAA?
Ndio,...
...kuna MAMBO ni labda ni mpaka UKIONA MGONGO ndio unakumbuka mfereji wa mwanzo wa TAKO au tu ni UKIONA kitanda ndio kikumbushayo hata ya MASHUKA bado MACHAFU ,...
....ingawa LABDA ni ukweli PIA kimawazo ya kitandani labda yanafanyika hata CHOONI kiwazo na wala tu sio kweli WAZO hilo lawazika tu huko MSALANI!:-(
NI hilo tu na NI WAZO tu hili MHESHIMIWA!:-(
Tutulize maswala na manyanga yasiyo na fujo kwa WATU wasiotaka FUJO kwa kubakia Brazil ili Gilberto Gil alainishe kwa - Estrela
Twende UFARANSA ili Henri Salvador arudie - Jardin d'hiver
Henri Salvador arudie-Jazz Méditerranée
Alainishe zaidi kwa - Chambre Avec Vue
Au turudi tu Brazil ili Elis Regina arudie- Madalena
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja ambaye hupenda sana kuimba mziki, wakati mwingine anapokuwa msalani huimba kwa raha zake sawa tu na vile yuko chumbani!
Post a Comment