Si unakumbuka MWALIMU wa NANIHII labda naye ana MWALIMU?:-(
>> Thursday, March 31, 2011
Ndio ,...
... pamoja na kuwa KUNA wajifunzao KUDOKOA MBOGA WENYEWE bila kufundishwa na MTU,...
....au tu KUNA wale warekebishao mpaka JINSI YA KUSALI au tu STAILI ya kufanya MATUSI ili iwe sio MPAPASO kwa mafanikio kwa kuhangaikia hilo WAO WENYEWE,...
.... labda BADO ukweli uko palepale kuwa MENGI ,...
..... watu hujifunza kutoka kwa WENGINE,...
.... na mengi wafundishayo WALIMU wa KITU ,...
... hayo walijifunza kutoka kwa MWALIMU wao hata wasio muita au kustukia ni MWALIMU.:-(
Swali:
- Unabisha?
- Kwani unafikiri WALIMU wengi hata tukiruka wale waliofundisha MTU kuvaa chupi huwa wanaitwa WALIMU?
- Na siinasemekana asilimia kubwa ya MAISHA ya MTU - mtu huitumia kujifunza kitu hata kama hastukii anavyojifunza ?
Ndio,...
... labda MWALIMU ana MWALIMU.:-(
NI HILO TU na ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu WAZIRI wa UTAMADUNI wa zamani wa BRAZIL yule Gilberto Gil aanzishe upya kwa -Toda menina baiana
Au tu Gilberto Gil adinye tu na -Aquele Abraço
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment