Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Inajulikana kuwa SIRI kubwa ya KUANDIKA ni kuanza tu KUANDIKA!

>> Sunday, March 20, 2011

Tatizo linalojitokeza tu  ni kuwa ,....

...ukianza kuandika,....
... unastukia kwa UWAZI zaidi kuwa  kuna KUANDIKA VIZURI  pia kuhitajikako katika UANDISHI haki ya nani tena ,...
... ambako kwa WENGI WETU  kunahitaji mazoezi kwa kuwa kwa bahati mbaya  hakuji tu HIVIHIVI !:-(Swali:
  • SI umestukia kuna waandikao na KUNA WAANDIKAO vizuri hapa DUNIANI?
MAANDISHI ni muhimu,....
.....ingawa labda kuna umuhimu pia waujuao WAANDIKAO vizuri  wakaeleweka niwaoneao WIVU!:-(


Nawaza tu kwa sauti MHESHIMIWA,...
.....wakati naendelea kufanyia mazoezi UANDISHI  wa kiaina fulani!:-(

Hebu Mos Def arudie mahesabu kwa-MathematicsBusta Rhymes ajaribu kulainisha zaidi  kwa-I Love My Chick


Au hebu NYAMA YA BATA isimuliwe vizuri kinyamunyamu iifanyayo NYAMA HI kuwa NYAMUNYAMU  katika ndude ya Off Side Trick akiwa na Mzee Yusuf na Sella wakimuongelea-BATA...

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Candy1 5:00 am  

Mi nyimbo za leo ndio umeniua kabisa! Hahaha! Jumapili njema kaka Simon

Mirabell 7:58 am  
This comment has been removed by the author.
Mirabell 7:58 am  

umetukuna nyoyo zetu leo jumapili njema

SIMON KITURURU 3:17 pm  

@Candy +Mirabell: Jumapili njema watu wangu! Lakini jama hilo swala la NYAMA YA BATA mie simo!:-)

Mcharia 4:37 pm  

wUU...koho! koho! kohu! sorry.

Nitarudi tena.

SIMON KITURURU 4:59 pm  

@Mkuu Mcharia: Kamanda nini tena kimekukoholesha jamani?:-)

Mcharia 3:18 pm  

Nimerudi tena.

Huyo bata bwana naona alikuwa na pili pili nyingi,ni kweli kwamba mimi hivi sasa nina miaka 10 sili nyama ya aina yoyote isipokuwa samaki tu.

Haya bwana wazee wa Bata.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP