Labda WATANZANIA walio wengi hawajali SIASA za CCM , za MCHUNGAJI MTIKILA, za CHADEMA , CUF au hata siasa zangu MTAKATIFU simon KITURURU za NANIHII zakujitakia !:-(
>> Wednesday, March 30, 2011
Ndio,...
...... wengi TANZANIA kama wanamgao nanihii , na wanaaamini serikali yao inawatekelezea wayahitajio hasa KATIKA WAHISICHO NCHI YAO ndio itoacho na yenye UWEZO NACHO ufanyao maisha yao wakitaka kitumbua wanatumbua,.....LABDA hawatajali GADDAFI anaibaje,...
-SAMAHANI! -
... namaanisha HAWATAJALI SANA viongozi wa TANZANIA wanaibaje ,...
... na LABDA kama tu CCM ingeweza kutoa KITUMBUA,...
....labda CHADEMA na CUF visingekuwa vyama visumbufu kwa kutoa tu stori za MAANDAZI -maandazi ambayo haVIjagawa bado.:-(
....labda CHADEMA na CUF visingekuwa vyama visumbufu kwa kutoa tu stori za MAANDAZI -maandazi ambayo haVIjagawa bado.:-(
Na haki ya nani INASEMEKANA kwa aliyetibiwa HAMU vizuri si rahisi KURUBUNIWA na MTU kwa kutumia STORI TU za KITIBU HAMU kilichobenjuka tayari KIDUDE kama kionekanavyo KITAMU KATIKA STORI ZA WENGINE wadaio KINATIBU HAMU kuwafanya WARUBUNIWE na wawe na MUNKARI au tu hamu yaVITU ambavyo UWEPO wake bado ni STORI tu!
Swali:
- SI inasemekana aliyeridhika na yake aliyo na UHAKIKA NAYO si rahisi kukubali kuhatarisha maisha yake yenye uhakika kwa kukimbilia ambavyo havina UHAKIKA na vyenye tetesi za hatari?
- SI aliyeridhika kuwa MOTO unaunguza hahitaji kugusa MOTO ili kuhakikisha UNAUNGUZA?
... nafasi ya vyama vya UPINZANI kwenye siasa ya TANZANIA kama CCM ingekuwa inatimiza KWELI porojo za kwenye harakati za UCHAGUZI,...
...NA ni wazo tu HILI!:-(....SAMAHANI ,...
...nabadili ndude,...
Hebu Main Street Singers wanipe msaaada kwa KUDINYA kitu.......-MUNGU NI PENDO
Ngojea ghafla Black Ice abadili mdinyo na KATIKA KUBADILI aongelee The music industry's exploitation of artists kwa kugusia ndude katika-Or DIE
Amir Sulaiman adunge nanihii - Spiting Truth
Au tu Notorious BIG aje tu na R.KELLY walainishe ZAIDI kwa kuongelea kula ngoma AMBACHO HAKI YA NANI NI KITU RAHISI yasemekana kwa wasioogopa dhambi au UKIMWI kwa ndude-Fuck U Tonight
Ndio hili ni wazo tu MHESHIMIWA!:-(
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment