Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SAMAHANI wajipendao SANA wenyewe , wajifikiriao sana wenyewe ,....au tu hata WAJICHAKACHUAO nakuridhika sana wakiwa WENYEWE !

>> Saturday, March 05, 2011

Kwa bahati mbaya hata BINGWA anahitaji zaidi ya watu WAWILI na ili uwe BINGWA ,...
.... labda utahitaji watu wengine!:-(

Kwa bahati mbaya HATA siri ya mtu kuonekana mzuri  kama tu BINGWA,...
....inahitaji  angalau mtu mmoja AKUSIFIAYE  mwingine!:-(Kwa bahati mbaya HATA  ili fantasi a.k.a KIPICHA PUNYETO  ambayo katika kujichakachua hata za yule KIPICHA punyeto AKILINI anazidaka hata bila kufumba macho  wakati anajichakachua na katika mchakachuo HUO ni BINGWA,...


....labda bado UKWELI  anahitaji picha fikirani ya angalau KIMWANA au KIDUME au tu ya vidude vyao  fulani vingine!:-(Swali:
  • Unakumbuka wengine leo MKUU?

Na nia na madhumuni ya TARALILA hii haki ya nani tena ,...
... ni kukumbushana TU  kuna wengine ambao MUNGU akipenda hatutakutananao tena  ambao labda muda wakuwa-SABAHI , kuwaaga vizuri ,  kuwapa kidude kwa kuwa wanaweza kupata mchumba  leo hiihii baadaye  au tu kujiunga na USISTA  au UPADRE wa kanisa la KATOLIKI la KIROMA kitu kipigacho loki kidude kabla hujakutananao tena, .....
..... au tu muda wa KUBWENGA LIMTU bonge la MBATA a.k.a KOFI PANA halafu kabla halijatulia na wakati bado linaona nyota  na halijajua kiendeleacho , unaliongezea bonge la mtama au ikibidi NGWALA ,   halafu likienda chini una lirukia na kulisigina na kisigino pua lake  huku unalitukania  VIDUDE vya wazazi wake na kulitemea BONGE LA koozi zito lanjanonjano,..
.... au kuna ambao inahitaji tu UWASAMEHE LEO kwa kuwa asameheaye WENGINE anabaraka zake kwa MUNGU huwanasikia,...
....na leo labda ndio siku ya mwisho kwao HAO na nasikia pia KUFA a.k.a KUZEDEDI wakati umesamehewa au KUSAMEHE kuna utuli wake yani!:-(

Swali:
Unakumbuka wengine  leo MKUU?
Utakumbuka kunisamehe kama nimekukosea?

NI HILO tu na ni niwazalo tu MHESHIMIWA!:-(


Hebu tumsikilize Tyler Perry akiongelea -Forgiveness
Au tu Awilo Longomba aingilie kati kwa -Carolina

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 2:10 pm  

Binadamu siyo kisiwa, bali anahitaji binadamu wenzake. Hata visiwa vinajulikana vilitokea bara gani. Wengine wanadai kwamba Mungu si mwingine bali ni ujumla wa binadamu wenzetu.

Hapo basi!

Swahili na Waswahili 5:16 pm  

Uwepo wako unasababu na uwepo wa wengine,Samahani/msamaha ni tendo dogo sana lenye maana kubwa sana!

Na linaleta AMANI,UPENDO,HURUMA,UTUWEMA,FARAJA NA MENGINE MENGI!

SIMON KITURURU 7:08 pm  

@Mkuu Goodman+Dada Rachel: Nakubali kabisa mliyosema!

Lisa 8:01 pm  

To forgive is the highest, most beautiful form of love. In return, you will receive untold peace and happiness.

SIMON KITURURU 2:24 am  

@Lisa: Thats very true!

Unfortunately forgiving is an art not everyone of us seems to master!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP