Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LAFUDHI- hebu wasikilize Main Street SINGERS wakiimba-MUNGU ni PENDO!

>> Thursday, March 31, 2011

Kuna rafiki yangu eti hasikii kuwa kiimbwacho ni kiswahili eti katika wimbo huu....2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Swahili na Waswahili 2:59 pm  

Nimewapata kaka HAluluyah ooohhh!Swahili hiyo kaka! wewe ukisema cha nini wengine wanasema watakipata lini!!!!!!!!!

Jamani hapa kwetu tuna dalasa la jumapili la watoto. Wengine wamezaliwa hapa na wengine wamekuja wakiwa watoto,sasa tunatumia lugha ya kiswahili kuwafundisha mambo yahusiyo Mungu na Nyimbo za kusifu na kuabudu!!
Burudani ya LAFUDHI unaweza kucheka mwanzo wa kipindi mapaka mwisho!!.

COVENRTY CHRISTIAN SWAHILI FELLOWSHIP.
KARIBU SANA!

Samahani kaka KITURURU kwa tangazo!.

SIMON KITURURU 3:54 am  

@Rachel: Asante kwa Tangazo!

Lafudhi kiboko!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP