Jinsi ya kumnyemelea HAUSIGELI umpendaye na akupendaye wakati una MKE!
>> Tuesday, March 01, 2011
Kuna uwezekano jinsi ya MKE wa MHESHIMIWA ,...
.... bado ni KUNYEMELEA TU hivyohivyo ujuavyo KUNYEMELEA NI NINI kama tu mara ya mwisho ulivyowahi kunyemelea ulichohisi ni KITAMU hasa kama hujafikiria KUNYEMELEA NI KUNYEMELEA na unajua kuna sababu fulani kwa nini kuna VINYEMELEWAVYO na kuna vingine ambavyo havihitaji KUNYEMELEWA NAWE kwa kuwa kwa sababu zako unaamini utavigida tu bila kuhitaji KUNYEMELEA.:-(
Swali:
- Kwani ulihisi ntasema cha zaidi kuhusu KUNYEMELEA kuliko ujuavyo KUNYEMELEA ni nini?
LIONE VILE!:-(
Na si unakumbuka na hili pia ni wazo tu MHESHIMIWA yani hata kama KINAMNA kunaahisiye LABDA limepinda!:-(
Hebu Koffi Olomide aingilie kati na kubadili ndude kimfikirio .....
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment