Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Umesikia kuwa eti MWISHO wa DUNIA kuna wadaio ni TAREHE 21 , MEI mwaka 2011

>> Sunday, March 06, 2011

Deku hawa jamaa....Oyaa WAJANJA,....
.... na HABARI NDIO HIYO kwa hiyo kazi kwenu!:-)Kama unanyege ya kutokufa kabla ya TAREHE 21 , MEI , mwaka HUU ,...
....na umeguswa CHOBISI  na unataka uwabishie HAWA JAMAA kuwa wewe utaishi milele  au angalau zaidi ya tarehe ishirini na moja mwezi mei mwaka huu ,...
...wadokoe HAPA


Mie mwenzenu nishaanza kujiandaa kama hivi......:-(6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Malkiory Matiya 7:54 pm  

Hahahaha,je ni uoga au ndiyo utakatifu wenyewe? Japo ni kazi ngumu sana kwangu mimi kufanya vile, lakini napendezwa sana na maadili hayo.

chib 8:20 pm  

Ha ha ha haaaa, Mt, acha kutuumiza mbavu. Ni mwisho wa dunia kimawazo yao, kwani wamekosa la kuhubiri tena, hivyo hawana jipya, basi wanafikiri ukomo wa mawazo yao basi ndio mwisho wa dunia

Goodman Manyanya Phiri 12:04 am  

Kujiandaa siyo vibaya ila ikitokea ukweli unakwenda zako peponi. Kama ni uongo utarudi zako kwenye dhambi kama kawa... tena utarudi ukiwa na hamu kubwa kuliko pale ulipoachia ngazi. YOU WILL MAKE UP FOR LOST TIME!

SIMON KITURURU 7:57 am  

@Mkuu M.W.M: Hakuna utakatifu wala nini!:-)

@Mkuu CHIB:Hawa jamaa ingekuwa poa sana kusikia wanasema nini ikifika tarehe 22/05/2011 halafu wako hai na dunia ipo tu kama juzi yake!:-(

@Mkuu Goodman: Nimekubali kabisaaaa!

Yasinta Ngonyani 10:22 am  

ha ha haaaa kazi kwelikweli yaani nimecheka kwelii. Nakubalina na kaka Chib ni mwisho wa dunia au??? ha ha haaaa

SIMON KITURURU 2:39 pm  

@Mtoto mzuri Yasinta: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP