Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

R.I.P Asifiwe!

>> Thursday, March 24, 2011

Mdogo wa Bloga mwenzetu  na RAFIKI yetu Yasinta Ngonyani ,...

... kwa jina ASIFIWE ametutoka!:-(


R.I.P Asifiwe!
Poleni  sana Yasinta na familia nzima ya Mzee Ngonyani!


Na MUNGU akupumzishe mahali pema Asifiwe!

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mija Shija Sayi 12:24 pm  

Poleni sana familia ya Ngonyani.

emu-three 3:27 pm  

Tunawapa pole sana wafiwa

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 3:35 pm  

Hizi ni habari mbaya sana.

Mungu Akupumzishe salama Asifiwe kwani umetangulia tu. Na poleni sana wafiwa. Mungu Awashike mkono na kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Swahili na Waswahili 5:25 pm  

Mungu awatie nguvu na uvumilivu katika wakati huu mgumu!!

Mbele yako nyuma yetu dada yetu mpendwa Asifiwe!.

Yasinta Ngonyani 1:20 pm  

Na baraka za Mungu ziwe nawe kwa ushirikiano wenu na Ahsante Simon kwa kuwa nami katika kipindi hiki kigumu.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP