Kuna FARAJA za KUZEMBEA na KIFARAJA uzembe labda ndio unifanyao pia MIMI na MALAYA WANGU tusiendelee KUJITAHIDI!:-(
>> Monday, March 21, 2011
Tahadhari: Taralila hii si nzuri kwa MFANYAKAZI BORA!:-(
Ndio,....
... pamoja nakuwa KUJITAHIDI, kuhangaikia vitu na KUJITUMA kwa wenye busara FARAJA ZAKE ndio huzisifia hata kuzitukuza kwa kubobea katika wadaivyo ni malipo manono mtu upatayo BAADA YA KUJITAHIDI na kuhangaikia,...
.... lakini labda tusisahau kuwa labda kuna FARAJA pia za UVIVU na kuzembea ,...
.... na ndio maana labda kuna MIJITU kibao inazembea na ni fulu KULA kulala.:-(
Swali:
- Na si inasemekana kwa hata kwa WAFANYA KAZI kwa BIDII wakishapata wanachohangaikia FARAJA waipatayo kwa hilo haidumu na kwa hiyo itabidi waanze tena upya kuhangaikia kitu kingine ili kufukuzia FARAJA kama hiyo tena?:-(
Ndio,...
....Labda UZEMBE na UVIVU vinafaraja zake pia aisee,...
.... na ndio maana si kila mtu anafuata busara za hata mpaka vifichwavyo na chupi za malaya kuvihangaikia.:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Jumatatu NJEMA na KUJISHUGHULISHA kwenye faraja kwema MKUU!
Hebu twende Kameruni ili Sandra Nkaké arudie kuomba mtu awe-Sex Friend
The Hypnotic Brass Ensemble warudie-Planet Gibbous
Au tu Hypnotic Brass Ensemble wamalizie tu kwa - Balicky Bon
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment