Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mtekenyo wa leo - MAREKANI bila MUNGU na Madalyn Murray O'Hair

>> Friday, March 18, 2011

Wakati kuna waaminio kuna MUNGU,..
...na wakati TANZANIA siku hizi ni fasheni kushabikia udini.
....hebu tudodose swala kinamna ingine kiduchu,...
...kwa kudeku ndude-Godless In America

Stori ipapasayo maisha ya The most hated woman in America -Madalyn Murray O'Hair

Tuanze....Tuendelee.....


Tuendelee....Tudodose....Mmmmh....Au tumalizie tu kidude....MADHUMUNI ya NDUDE HII ni kujifunza tu kitu  MKUU kutoka kwa WENGINE kinamna na wala usikonde!:-(


IJUMAA na WIKIENDI  njema MHESHIMIWA!:-(

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP