Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MAISHANI - kuna kujifunzia KATIKATI ya kitu pia!

>> Wednesday, March 23, 2011

Ndio,...
.... labda ANZA tu,....
.... mengine utajifunzia na kuyajulia MBELE ya SAFARI!:-(
Swali:
  • AU?
  • SI maishani hakuna aliyeanza kitu akijua?
Ndio,...
..... wajuzi wengi,....
... siri ya KUJULIA KWAO VITU ni kurudiarudia kitu mbele ya safari!:-(

 MAISHAAAAAAAAAAAA!:-(
 Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu  Israel Vibration waguseguse zaidi tu eneo anuai  ili wabadilishe WAZO  na ile ndude-Rude BOY shufflin'
Au tu Capleton na SIZZLA wajaribu kuzima manyanga tu tena kwa-Jah Jah CityNa sijui kwanini hebu na SIZZLA na Garnett Silk ndio wafanikiwe kuzima manyanga kwa -Bless ME

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:36 pm  

Ahsante kwa somo hili...kuna kitu nimejifunza pia!!

Swahili na Waswahili 6:02 pm  

Nikweli hakuna ajue yote!Asante kaka!.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP