Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama vile mtazamo wangu mimi MJINGA MIE uhusuo BABU wa LOLIONDO NA DAWA ZAKE na hata ULE uhusuo madhumuni ya wampigao GADDAFI kwa KISINGIZIO wanalinda RAIA wa LIBYA unahitajika VILE katika JAMII!:-(

>> Monday, March 28, 2011

Ndio,....


...SIAMINI katika DAWA ya BABU wa LOLIONDO,...
... na siamini PIA kuwa UN aka UMOJA wa MATAIFA  ambao ni wenyepesa WAAMUZI ,...
....na WOTE wampigao GADDAFI wafanyavyo ni kwa ajili ya kulinda RAIA wa LIBYA  wasiuawe na GADDAFI wakati tunaona wakaavyo kimya mahali pengine RAIA wakiuawa na kufanya mchezo wa Ze KUFA!.:-(Just SAYIN'!:-(


Hebu tubadili WAZO ......

...kwa kupata mashairi zaidi,....

....na hebu ngojea BLACK  ICE aanzishe kwa ......


Black ICE asisitizie kitu kwa -Truth is
GEMINI asawazishe kitu kwa-What are you fighting forAu tu Julian Curry azime manyanga kwa - Niggers , Niggas and Niggaz


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Swahili na Waswahili 6:22 pm  

Kumbe wengi tulio na Mashaka!!

SIMON KITURURU 3:30 pm  

@Rachel: Nashukuru angalau kumjua mwingine mwenye mashaka ni wewe!

Haya mambo mimi naamini tuyape muda tu na UKWELi utabumbuluka!:-(

SIMON KITURURU 3:31 pm  

@Rachel: Nilisahau kushukuru kuwa:
Asante kwa kuwa bonge la MDAU Rachel!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP