NDIO -ntasogeza SIKIO ukitaka KUNINONG'ONEZA!:-(
>> Wednesday, March 23, 2011
Lakini UKINONG'ONA ikasikika na utakaye UNONG'ONAYO asisikie,...
... kunakasheshe zake aiseee!:-(
Swali:
- Si unajua ukinong'ona ukasikika kuna NOMA aka NISHAI zake hasa kama unong'onacho ni UMBEYA?
Lakini,..
.... kwa kuwa DUNIANI bado kuna MENGI TU labda sio busara KUYAPAYUKA ingawa inajulikana DUNIANI hakuna siri,...NONG'ONA tu AISEE!
Ila labda
.... ni muhimu kuzingatia ukishapayuka UKASIKIKA labda ndio inaweza kuwa IMETOKA HIYO kama tu maji yaliyomwagika mchangani yasivyozoleka,...
... na itakuwa ni JUHUDI zisizo za msingi kujaribu kuyameza yaliyopayukwa na kusikiwa nakujifanya huyajui kwa UMMA uliokusikia,...
...na kama unakumbuka hilo,...
..... basi ukinistua mie ntasogea UNINONG'ONEZE ,...
...na kwa wengine labda kwa UHURU,...
NONG'ONA TU AISEEE!
Swali :
- Si unajua asilimia kubwa ya YANONG'ONEZWAYO ili watu wengine wasisikie huwa KWA KAWAIDA ni ya kawaida sana na labda wala hayastaili KUNONG'ONWA?
Ndio,...
... kama huna uhakika na harufu ya mdomo wako,...
... kumbuka WAKATI UNAMSOGEZEA MTU LIMDOMO LAKO inaweza kuwa unanuka mdomo aisee ,...
...na wakati unamnong'oneza mtu HARUFU YA kitu DOMO ikafanya ANONG'ONEZWAYE aweze kukumbuka UNANUKA DOMO kuliko bonge la UDAKU kuwa Rais MWINYI unadhani aliwahi KUKUKONYEZA ambacho ndicho ULICHOBUNI na ndicho unachonong'ona aisee!:-(
NI wazo tu hili lililokaa kushoto zaidi ya kulia MHESHIMIWA!:-(
DUH labda tubadili kabisaaa ili tuondoke kwenye hili WAZO nishai
NA ,...
....hebu Burning Spear aanzishe upya kwa -DriverBurning Spear aje NAIROBI kudai-Jah no DEAD
Joseph Hill aje naye hapa hapa NAIROBI na kuongelea tatizo la kuwa-She want Money
Israel Vibration watoneshe kwa -Vultures
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kunongónezana:-(
nami naongeza kunong'ona!!!!!.
Post a Comment