Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Bado tunaishi katika DUNIA ambayo KIDUME Ernest na KIMWANA Bhoke wakila uroda/WAKIFANYA NGONO kwa starehe zao,...

>> Saturday, June 11, 2011

... alaumiwaye zaidi ni KIMWANA na sio KIDUME!:-(

Swali:
  • SI umestukia katika ngono hovyo ya MDADA na MKAKA ni  watu wawili huhusika?


  • Na si umestukia MALAYA wa KIUME na MALAYA wa KIKE alaumiwaye na kudharauliwa zaidi ni yule wa KIKE?


Ndio,...
... haki za WADADA kuheshimika kimalaya kama MALAYA wakiume labda bado zahitaji kupiganiwa!:-(


Hongera BHOKE kwa kuzalisha tena MJADALA wa swala FULANI   Afrika!


Kama humjui BHOKE dungua firigisi HAPA!



Hebu BHOKE aongee kwa msaada wa Kajunason Blog



Hebu hata kama huna aibu usiangalie video hii ya Ernest na Bhoke..LIONE VILE



Au hebu UPENDO NKONE abadilishe kidogo SHUGHULI kwa -Ameni Haleluya

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP