Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Usishangae SIJUI KITU kwa kuwa lengo la SHULE YANGU ilikuwa ni kufaulu tu MTIHANI!:-(

>> Friday, June 03, 2011

DUNIANI kuna wajuao,...
.... ambao hawafaulu MTIHANI,...
... na pia waliojua pia sana tu kuliko wadhaniwao ndio WAJUAO,...
....  na umahiri wao waliupata baada ya kufeli MTIHANI.:-(

Swali:
  • Na si unajua kuna WAFAULUO MTIHANI ambao hawajui KITU zaidi ya majibu ya MTIHANI?

  • Na si wajua kuna WAENDELEAO kuwa wajinga kwa kuwa wamejiamini kuwa wanajua hata wasivyovijua kwa kuwa jamii inajua WALIFAULU mtihani?

Ndio,...
... kuna wafauluo mtihani wa SOMO bila kujua SOMO.:-(

Swali:
  • AU?

Ndio,...
.... na LENGO LA MTU ni kiboko,....
.... kwa kuwa kama ulengacho kilengo ,...
....KWA MFANO ni KAMA ni KILE ndude kupata DEMU,...
... lengo laweza kukupatia mpaka DEMU bila kuwa na MAPENZI naye,...
.....halafu ndio ukastukia kuwa umeopoa kinuka mkojo BONGE LA DEMU ambaye HUPENDI ANUKAVYO ,...
....kisa hukustukia katika SOMO la MAPENZI ukipenda  na KATIKA KUPENDA kuna kibadilishacho TITI DOGO kuwa KUBWA kama UMEPENDA,...



... na KWANZA labda ndio siri ya uvumilivu wa MAPENZI na KINUKA MKOJO yafanyayo ALIYEPENDA  asistukie AMPENDAYE  ananuka MKOJO na apataye tu DEMU astukie kuwa demu anachupi iliyo CHAFU na inukayo angalau kwa mbali uliovunda MKOJO,...



.... kitu kifanyacho asistukie MALAIKA kijina asiwe DEMU wake ILA  bali ,...
....kipenzi ni MWENZA wake wa kufa NA  kupona ingawa anabonge la CHUCHU.:-(



Swali:


  • AU?
Ndio,...
.... kuna somo katika  MASOMO  labda lengo la MTU  ni KUFAULU tu MTIHANI,...
.... ILA ,...



...na kama lengo la MTU ndilo hilo la kufaulu tu MTIHANI,...
... labda MTU huyo ajihadhari na kujifanya ANAJUA.:-(





Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na wala usikonde!






Hebu Madee na Tunda Man waongelee - Pesa




Au tu Mbaraka Mwinshehe anyuke tu ndude- Masimango




Kabla Tito Puente hajaingilia kati tena na kusawazisha kwa - Oye Como Va


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:19 pm  

mmmhhh:-(

Simon Kitururu 7:28 pm  

@Kimwana Yasinta: Mmmmh!

chib 9:02 pm  

Mkuu, huwa nikisoma vibandiko vyako, lazima katikati nitakuta vijimambo...
Sasa tena suala la kojo.....
Weekend njema

Unknown 12:47 am  

Bwana Wee...na hivi ninavyojielekeza kwa ajili ya shule ya MULTMEDIA.

Mkuu bado unaendelea kunifikirisha kutokana na vibandiko vyako, tangu nilipoanza kupita hapa kibarazani hata sasa unaposoma kipachiko changu hiki.

Kama vipi tubadilishane kichwa.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP