Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KIKOJOZI anachakusema kuhusu KUJIKOJOLEA ingawa labda asikilizwaye KWA KAWAIDA ni amzomeaye KIKOJOZI!:-(

>> Monday, June 27, 2011

Kila mtu anachakusema,...
.... ingawa kuna wakaao KIMYA kwa kufikiria hawana cha kusema.

Swali:
  • Si ushawahi kusikia usemi kama HUNA la kusema kaa kimya?

Ndio,...
... lakini bado ukweli ni kwamba,...
... inategemea tu na utafsirivyo nini nicha KUSEMWA,...
.... kwa kuwa lakusemwa labda ni lolote lile,...
... hata kama kwako na uliyojifunza ufikiriayo hayana kibiongo LISEMWALO  kwako ni upumbavu!:-(

Ni wazo tu hili BOSI!
Jumatatu NJEMA!


Hebu turudi Algeria kupewa na HARMONICA  ndude-Salam alikoumHarmonica warudie na ndude- Tassili

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP