Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

R.I.P GERONIMO JI-JAGA PRATT!

>> Tuesday, June 07, 2011

Elmer “Geronimo” Pratt (September 13, 1947 – June 2, 2011)Jamaa amefariki TANZANIA tarehe 2 Juni , 2011.

Kama humkumbuki mcheki kidogo kwenye 60 minutes

Au...


Au


Ingawa kuna wamchukiao ,....
.... kuna wengi aliokuwa mwanga kwao,...
... mie kwake kuna kitu aliwahikunifungua jicho  kimuangalio wa mambo!
R.IP!


Unaweza kumgugo tu kwa habari zaidi ,...
.... au tu  msome hapa

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:46 am  

Pumzika kwa amani Geronimo!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP