Wakati KABASELE YA MPANYA hashauriwi KUKUMBUKA kuwa MAKINI na yale yote AFIKIRIAYO ni yasiyo MHUSU!:-(
>> Thursday, June 02, 2011
Ndio,...
... labda JIHADHARI na KUPUUZIA ,...
.....UDHANIAYO haya-KUHUSU ,...
.... kwa kuwa hata MPENDA chupi ZIBANAZO matako yake KWA KUWA KWAKE nzuri,....
.....adhaniayo HAYAMUHUSU hasa ,........ kwa kuwa wakati anakutananayo HAYO AFIKIRIAYO kwa kuwa ni ukwaju basi HAYAMHUSU kisa WAKATI KAMA HUO huwa anafikiria MCHELE wakati huo kwa kuwa AFIKIRIAYO KUWA YANAMUHUSU huwa yanamkumbusha WALI,...
... na haki ya nani tena KIUMUHIMU afikiriacho hakimuhusu ndicho MALIGHAFI katika kijengacho CHUPI kikuifanyavyo kuwa MLONDA aka ASKARI MGAMBO alindaye mpaka kitobo ATAKACHO KILINDWE kwa kuwa kwake ni MUHIMU ,....
.... kile KITOBO cha siri kwa kuwa VYA SIRI vyake mara nyingi hata katika ``DUKA LA MZUNGU LI WAZI lauza MCHELE na NAZI.....´´ ni chupi,...
.....KICHUPI.:-(
....na ni RUKSA kutolielewa AISEE !:-(
Hebu Nasio Fontaine aingilie kati kwa - Rough Road
Vybz kartel aharibu kidogo kwa - British Love
Au tu hebu tuache utani na Billy Ocean arudishe ustaarabu kwa - Suddenly
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mmmmhhh!
@Mtoto Mzuri Yasinta: MMMmmmmmmh!
Post a Comment