Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WATANULIWAO inasemekana KIRAHISI huingiza!

>> Wednesday, June 15, 2011

Na inasemekana waliotanuliwa hata wakitaka baadaye,...

...kirahisi BAADAYE  wataingiza!

Swali:

  • Unabisha?
  • Na si ukitanuliwa maeno si labda kuna awezaye kirahisi kukukuingiza kama ukitanuka una upenyo?
  • Kwani unafikiri kama wewe ni MTOTO wa NYERERE au KAWAWA- na tusimsahau pedejee KIKWETE -unafikiri ukitaka NANIHII baadaye huwezi kuingiza hata kama ni  kwenye siasa za TANZANIA-kuliko Mtoto wa Heriel KITURURU asiyejulikana ambaye kama ni Simon KITURURU HUYO MTOTO  labda kashaua chansi hata kama kisa ni anaongelea matege mpaka ya UCHI hadharani na wanafiki ndio WAMESHIKA HATAMU?



Ndio ,...
...labda ajambaye vilevile kama kihistoria  mpaka WAZAZI wake hawakumbukwi kwa kujamba,...
... inawezekana akijamba WANUSAO USHUZI wanaweza kunogewa na kumsamehe ALIYETANULIWA TAYARI  hasa kama ni washabiiki wa LIMAMA lake au LIBABA lake ambalo KINYERERE kwa WATANZANIA labda lilikuwa linapatia zaidi ya Raisi MKAPA kwenye shughuli za Raisi MWINYI!:-(



Swali:
  • Si unajua labda RAIS KIKWETE angekuwa mtoto wa RAIS NYERERE Tanzania labda mambo yake ya kumtafuta ufisadi labda kungekuwa kuna wenye adabu WAMUHESHIMUO NYERERE  ambao hata hilo LABDA wasingefikiri?


Ndio,..
......labda ukitanuliwa kirahisi utaingiza kirahisi!:-(




Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu Fally IPUPA aivue chupi  kwa-RUMBA medley



Na Baaba Maal aingize kwa - Yela Medley

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:05 am  

Mwehh!! kaazi kwelikweli...labda!

Simon Kitururu 10:54 am  

@Mrembo Yasinta: mmmmh1

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 10:56 am  

labda

Goodman Manyanya Phiri 11:13 am  

POSTI yako hii ni nzuri sana, Simon. Lakini nimeshindwa kufikia mwishoe kimawazo; bali nimeona upinde wa mvua tu! Labda nimemuona Kawawa!



Ndio, Kawawa!


Wengi wanamsahau Kawawa! Sijui kwanini wamsahau Kawawa, Jamaani!


Lamwisho: vipi mashairi, Mkuu Kitururu? Tutapata lini? (maana yake mawazo yako yana FIT vilevile katika mashairi na ndipo watakuelewa hata wale wenye vichwa vigumu kama mie Manyanya yaliyeoza!) LOL!

Rachel Siwa 12:26 am  

Duhhh kitururu mawazoni!

Simon Kitururu 12:39 am  

@Komandoo Kamala: Ni labda aisee!:-(

@Mkuu Goodman: Mashairi ntafanya ila sijui kwa nini siamini MASAHAIRI ndio hufanya mtu aeleweke kirahisi!:-(

@Da Rachel: Samahani huwa na mchezo wa kuwaza mtu wangu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP