Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUHUSU sidilia ya TAKO kuwa LABDA haishikilii tu TAKO!:-(

>> Thursday, June 16, 2011

Swali:

  • SI unajua LABDA  unga wa MAHINDI ya UGALI UUPENDAO labda humshibisha mpaka mwenye mashine ya kukobolea MPUNGA asiyependa UGALI  ingawa kwa apendaye ugali  huweza KUSAHAU kuwa MOJA ya afanyacho kwa kula UGALI labda ni mpaka kusomesha watoto wa mwenye mashine ya kukoboa asiyependa UGALI?


Ndio,...
.... SIDILIA yako ya TAKO,...
... hata ile isiyoshikilia vizuri TAKO iitwayo bonge la chupi,...

.... labda hushikilia mpaka MAISHA ya hata wasiovaa chupi kisa ni wakulima wa PAMBA aisee!:-(Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu L'vovo Derango adinye -Way'dedelaBlack Coffee atubakize hapahapa AFRIKA KUSINI kwa - Turn Me OnKabla Pepe kalle hajaingilia kati na kurudisha- Moyibi

8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

isaackin 1:24 pm  

ha ha haa,haya tena ni wazo tuu mkuu lakini dah
hizi mada zako huwa zinaniacha natabasamu siku nzima.

SIMON KITURURU 1:44 pm  

@Papaa Isackin: DUH!:-)

Yasinta Ngonyani 2:49 pm  

Si mchezo kwa kweli kama sio kuachwa mdomo wazi... Kaka Isaack nakuelewa

SIMON KITURURU 2:55 pm  

@Mtoto mzuri Yasinta: Duh!:-(

chib 5:32 pm  

Hivi wazo la bandiko hili ulilitoa wapi vile.
Hope huko hakuna denge...

EDNA 8:20 pm  

hahaaa "sidiria ya tako" hii mpya.

Goodman Manyanya Phiri 12:06 am  

Amefufuka naye John Donne, baada ya miaka 380 kaburini; na anakutembelea hapa nami kukuunga mkono, Mkuu Simon, kuhusu hilo suala la chupi: “Any man's death diminishes me, because I am involved in Mankind; And therefore never send to know for whom the bell tolls; it tolls for thee.”

SIMON KITURURU 12:09 pm  

@Mkuu CHIB: Hivi limekaa kidengedenge eeh!

@EDNA: :-)

@Mkuu Goodman: Asante kwa funzo la ya John Donne.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP