Tatizo la uwakilishaji MTOMBO hadharani wakati labda inahitaji ujasiri kustukia KINUKA MKOJO huwa ananuka MKOJO hata kisiri kwa BAADHI tu!
>> Wednesday, June 15, 2011
Ndio,...
.....LABDA tatizo la uwakilishaji wa MTU na ya WATU hadharani,...
....NDIO UFANYAO anachowaza HADHARANI mtu hata mwenye tako lililopigwa pasi,...
...inaweza FANYA bonge la MWALIMU ambaye hata WANAFUNZI WAKE wanajua anajua KEMIA ki- kitu HASA anajua ,...
.... WAKATI ANAFUNDISHA huyo mjuaji KEMIA kikemia HALAFU HATUELEWI ,....
...na wala LABDA sio KITUJUAYO KIKEMIA kwa kuwa hata ya ki -demu YALE YA demu anataka kulaliwa na dume ndio siri ya kijulikanacho ,...
...afundishacho AJUAYE kemia KUWA siri ya MIMBA sio kulaliana kwa watu anaweza asieleweke kisa UWAKILISHAJI WAKE tu haueleweki kwa BAADHI!:-(...na wala LABDA sio KITUJUAYO KIKEMIA kwa kuwa hata ya ki -demu YALE YA demu anataka kulaliwa na dume ndio siri ya kijulikanacho ,...
Swali:
- Si unajua katika mambo KIUWEZO wa KUWAKILISHA VIZURI kuna BAADHI?
- Kwani hujawahi kustukia kuna wenye hata KICHEKESHO AKILINI ila wakijaribu kukitoa akilini na kutaka kutuchekesha kwenye lanchi YA DINA kwa mama ntilie- KWA HESHIMA na tahadhina HATA KAMA hatujaribu hata kujichekesha kwa kuwa haki ya nani ni kama kusikiliza Rais MANDELA kajamba na ukicheka labda HAICHEKESHI - si unajua kama huwezi kuwasilisha vizuri hoja labda bado KIRAHISI itakuwa haichekeshi?:-(
Ndio,...
...kuna labda mpaka UWADHARAUO ambao wakoseacho,...
....labda ni jinsi YA wao UWAKILISHAJI,..
... na katika kuwakilisha labda kuna mpaka WAVUAO CHUPI hata ya akili ,.......ingawa HAO WAVUAJI wakishavua INASEMEKANA BADO KUNA wachunguliao SEHEMU ZA SIRI labda hawaoni kuma au mboo ya KITU,...
...kwa kuwa labda hao ni MAJINIASI ila swala hili si kivyao kuelewa LIMEWAKILISHWAi!:-(
Swali:
- SI unajua inasemekana kuna mambo kama una akili sana huyaoni?
- Na si inasemekana hata kwenye dunia yako kuna majiniasi ambao kwa kawaida hufikiri majina ya sehemu zao za siri ambayo kiswahili yasemekana kwa waungwana ni MATUSI?
...labda saa nyingine TATIZO,..
..ni uwakilishaji wa kijambo,..
... kwa kuwa akuchekeaye ikiwakilishwa VIBAYA labda unaweza kustukia KAMA anakucheka vile,.....
..wakati unajua MTU akijamba ikiwakilishwa vizuri KIJAMBO labda ni kichekesho TU aisee!:-(Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu Wagadu Gu waisogeze kidogo upande ipumue kwa - Easy Dancing
Hebu Bunny Mack akumbushie-Let Me Love You
Au Peter Tosh apunguze mtuno kwa - Wanted Dread ......
Na sijui kwanini hebu Peter TESHA amalizie tu kwa -Mama AFRIKA
Nipo bado...:-(
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Hakika sijawahi kukutana au kumsoma mtu akiandika kama wewe kaka Simon...una kipaji cha pekee...
@Yasinta: Ni ushuzi mtupu niandikao na labda ndio maana kwakuwa wajanja ujanja sio kuandika ushuzi ndio maana huoni aandikaye ujinga kama mimi.:-(
Post a Comment