Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna baadhi ya wauaji kama RAIS OBAMA hapa DUNIANI hushangiliwa hata kwa kukiri WAMEUA!

>> Friday, June 24, 2011

Binadamu ni KIUMBE cha AJABU,.....

...na ukimtafutia BINADAMU sababu AU KUJIELEZA  akakuelewa ,...
.... anaweza hata kukushangilia kwa kwenda haja kubwa HADHARANI!


Swali:
  • Kwani unafikiri watu washangiliavyo  MTU  kwa kawaida wanashangilia  NINI?:-(
Hebu tumsikilize OBAMA akikiri kaua ndani ya maelezo yafanyayo ugundue kuwa ukiua na kama unajua kuelezea sababu labda jamii haikuchukulii tena kuwa ni MUUAJI....




Swali:
  • SI ukitoa amri MTU auawe ina maana KITAFSIRI fulani kuwa  wewe UMEUA?
  • Na hivi si inasemekana KUUA ni dhambi eeh?

Ndio,...
...najua kuwa inasemekana ni staili ya kuua na jinsi unavyofikia kuhukumu KIVITENDO MTU afe ndicho KIBINADAMU hutofautisha,...


... nani anaua KUTETEA ya MUNGU na nani anaua kutetea ya BINADAMU ambayo kwa BINADAMU labda yote ,...

.... ukicheza karata vizuri KWA KUUA  unaweza kuitwa SHUJAA kwa kuwa HAYO  huweza kutafsiriwa kuwa ni USHUJAA kwa kuwa uliye ua ni kibaka na sio WAZIRI wa UFISADI!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP