Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ingawa WASTAARABU walao HARUSINI huenda HARUSINI wakiwa tayari wameshiba,...

>> Tuesday, June 28, 2011

... WAUNGWANA walioshiba KIAFRIKA hula pia MSIBANI!:-(

Swali:
  • SI wajua KULA ni muhimu kwa ALAYE kwa kuwa yaweza kuwa LABDA kula kwake ni faraja ya ALIWAYE?

Ndio,..
... KULA mwanawane HATA KAMA HUNA NJAA ,...
..hasa kama sio mbinafsi ni MUHIMU kwa kuwa LABDA  kuna aliwaye ,...
... na KILIWACHO au aliwaye hata kama siye kwa kuliwa wakati huo NIA  ndio apataye MIMBA,...
... lakini kiuwekezaji wa  YA BAADAYE ,...
...ajilazimishaye KULA wakati KASHIBA  labda ANAWEKEZA VYEMA  kwa kuwa HAIJULIKANI  ni lini ALAYE kwa manufaa ya ALIWAYE atakuwa na njaa ya KULA  kisicho na hamu ya kuliwa na labda akumbuke tu kuwa mpishi YASEMEKANA huwa anakumbukumbu na kama kwa kuwa leo umeshiba na ndio maana hata kuonja hutaki,...
..unaweza kukuta kwa hilo unaharibu MUNKARI wa mapishi ya siku ukihitaji KULA kwa kuwa una NJAA kisa mpishi analipiza kisasi au anafikiri mapishi yake hayafai KULIWA kisa wakati umeshiba hata kuonja kwa shingo upande  HUKUONJA!:-(


NI HILO tu NGULI,..
... na ni wazo tu hili NGULI ingawa nahisi unajua kuwa kutolielewa Kirais Mwinyimwinyi  ni  RUKSA:-(


Hebu Onyeka Onwenu na King Sunny Ade waamishie vita tena pembeni kidogo ya tundu kwa
-Wait for me




Au tuache tu longolongo ili Onyeka Onwenu atulize tu mtuno kwa ngoma ambayo mpaka Bongo ilitamba iitwayo-EKWE


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP