Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna wakusifiao ambao UNAINJOI ZAIDI wakikusifia!

>> Wednesday, June 29, 2011

SI KILA MTU unainjoi akikusifia,...


... na kuna akusifiaye ambaye kutokana na UMCHUKULIAVYO,...
... kilekile USIFIWACHO ambacho unafurahia watu wengine WAKIKUSIFIA ,......
.... unaweza kusikia AIBU kisa akusifiaye hichohicho kitu ni kivingine UMHESHIMUVYO!:-(
Swali:
  • AU?
  • SI labda ASKOFU akimsifia  KIGOLI  katika umahiri wake KIUNENGUAJI kitu hicho kinaweza kurejista tofauti kisifa kama utafananisha kitu hichohicho kama amsifiaye KIMWANA kwa kunengua  ni mdau tu asiyehubiri ya YESUYESU au  ni libwana lake KIGOLI ambalo unafikiria moja ya kunengua kwa kimwana huyo ni staili inayolipagawisha?

Ndio,...
.... kuna ambao WAKIKUSIFIA sifa zao hunoga zaidi,......
.... ingawa kuna wengine wakikusifia ,...
.... sifazao ni MATUSI aisee!:-(

Ni wazo tu hili KIKORE!:-(

Hebu Keith Sweat arudie- Nobody




Frank Ocean akatizie kwa - Nature Feels





Au tu hebu Keith Sweat  arudie tu na - Twisted

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP