Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wee Nchekeechekee tu! NTAKUCHUMBIA wewee !Ooohoo, we lete utani tu!-Labda ni MKWALA!:-(

>> Friday, June 24, 2011

MKWALA!

Nia ni KUTISHA mtu,...
... na katika tishio hata kwa litamkwalo tu LABDA  ni ``MKWALA´´



MKWALA!
Na kwa kikupiga mtu MKWARA hata kwa waitao hilo bonge la kitu  ``MKWALA``,...

... yawezekana KITISHIO ina maana kuwa ajaribuye KUKUTISHA kwa MANENO labda huyo kivitendo hana NGUVU na ndio maana anakupiga ´´MKWALA``.:-(



MKWALA!


Ntakubabua weweee mpaka mama yako MZAZI  akikuona atasahau kuwa aliwahi kukuzaa;...
... labda ni :``MKWALA´´.:-(

Kaa kimya  la sivyo unavunja SHERIA za SERIKALI ya TANZANIA!Nyooooo!(bonge la msonyo!);...
... labda ni:`` MKWALA´´.!:-(


Wee letaleta za kuleta ! Utafirwa (samahani ) wewe UTANAJISIWA lione  dume zima  SHAMBENGA katika  ya wanawake yasiyo mhusu NTAKUBONDA mie na kukuchokonoa na kijiti maeneo !LIONE vile!;...
... labda ni: `` MKWALA´´!:-(

FALA ataka ngumi eeh! Unataka ngumi  eeh? Vuka mstari basi uone kama MWAMBA maana ntakushikisha adabu mpaka utajinyea leo hii kudadeki !
....LABDA ni:`` MKWALA´´!:-(

Swali:
  • Ushawahi kushuhudia mtu akipigwa MKWARA au ushawahi kupigwa MKWARA ukastukia ni MKWALA tu?
  • Kwani hujui MKWALA/mkwara  ni nini?




LAKINI labda SAA nyingine ni muhimu KUKUMBUKA,...
......asiyekupiga MKWALA na wala kukutisha kwa hata jinsi akukaribishavyo kwa ahadi za PIPI chumbani, darasani, migombani ,KANISANI,  maktaba, kwa mama ntilie, MSIKITINI,...
... au tu pale POPOTE  ambapo  ndipo  USIPOTISHIKA,...
... labda huyo ndiye wa KUMUOGOPA kwa kuwa ndiye  AFANYAYE  VIBAYA  WATU hata kimdudu kwa vitendo KABISAA halafu wakati wewe umetulia kabisa  wakati ukipokea UJUMBE mzima  ukifurahia KIKILO TANI FULANI   kwa kuuelewa au kibulungutu LOTE hata kama ni lile la KUNENGULIWA au lile lijalo kwa  ule UTE au UJIUJI,...
... na na  labda  HUYO ndiye HATARI na ndio maana hahitaji tishatoto za manenomaneno  KIMKWALA kwa kuwa yeye kuanzia kiudanganyifu mpaka ufisadi wa ngono na sio tu ule wakulia katika ofisi za bunge ,...
...yeye HUFANYA na sio kupiga tu MKWALA wa neno!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na kutoelewa RUKSA!:-(



Ngojea Levert wabadili wazo kwa - Casanova



Halafu Black UHURU waingilie kwa kubadili tena muelekeo wa wazo kwa - World is AFRICA


Au tu Black UHURU wamalizie tu kwa -Happiness



Nipo bado!:-(










4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 2:28 pm  

Shopping yako mkuu ni bab kubwa...ama kwa dondoo yetu ya ya leo ya `mkwala'...mmmh,
Kuna watu wana mkwala, anatumia mdomo kama silaha, lakini ikifika valangati ana miguu miepesi kama mbuni...au swala.
Ila kwa ujumla mkwala ni nusu ya kushinda kama kweli unao?
TUPO MKUU, NIMERUDI HEWANI SIJAMBO..NASHUKURU KWA KUWA PAMOJA NAMI, ...WEWE NI NDUGU MWEMA!

Rachel Siwa 8:48 pm  

Hahahhahahh oohhhhhh kwikwiwikwi yaaaniii weweeeeeacha tuu!!!@kaka wa mimi leo umenifurahisha mnooo, kukuona uko nje ya suti na umenuna mwenyewe naona umetoka kwa mangi kufanya mahitaji,kaka Kitururu jeshi linakufaa maana umependeza kupita maelezo,tena uwe Mjeshi wa bongo, chondechonde usituue na kutupiga,kutupa adhabu isiyo stahili.

OPSSS HATA MADA NIMESAHAU, Kuna MKWALA mbuzi na wakikweli!!

Unknown 11:29 pm  

Na ole wako chakula kisiive mapema...labda nao ni MKWALA.

Mbona katika shoping uliyofanya hujashoping matunda? itakulazimu urudi na vyote ulivyoshoping huko huko ulipovitoa ili uje na matunda hapa alaa...!

Jiulize kama katoka kibaha kwenda kariakoo kufanya manunuzi halafu anarudishwa kwa kutonunua matunda, kama sio MKWALA!!.

Nimerejea mkuu baada ya kimuhe muhe flani hivi.

Yasinta Ngonyani 3:36 pm  

basi nakaa kimya maana kuchumbiwa ...utakuwa kweli mkwala:-) Kaka Simon umipendeza kweli nasema pia ungekuwa mwanajeshi duh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP