Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Napenda kweli neno CHUPI na UBWABWA!

>> Friday, June 10, 2011

Sasa baada ya kupata atensheni yako MKUU,...



Ijumaa na WIKIENDI  NJEMA MKUU!
MOLA akipenda tutakutana tena HAPA KIJIWENI  siku nyingine!



Hebu basi salamu zisindikizwe kwa JAZZ na Dr Billy Taylor katika -Theodora



Au Sam MANGWANA arahisishe kitu kwa hii-Megamix

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:02 pm  

Duh! kichwa cha habari kimenioacha hao...haya Mtakatifu wiki end njema nawe pia:-)

Simon Kitururu 5:15 pm  

@Mrembo Yasinta: Asante mtu wangu nawe nakutakia wikiendi kibonge na yenye bonge la tako!

MissPosh 7:12 pm  

Unachekesha simon:) weekend njema

Yasinta Ngonyani 7:23 pm  

:-)....kaaazi kwelikweli!!

EDNA 7:39 pm  

Hahaaa mtakatifu una vituko kweli.Ijumaa njema kwako pia.

Simon Kitururu 7:51 pm  

@Lisa na Edna: Asanteni jamani na Muwe salama sana tu huku mkipata bonge la dozi la Wikiendi NJEMA!

Pamoja Sana!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP