KILA mtu ana KITU tofauti awezacho KUKUFUNDISHA!
>> Thursday, June 09, 2011
Na kama una MWALIMU mmoja UMSHANGILIAYE sana ,....
..... labda kuna kitu tu kwa WENGINE hujajulia jinsi ya KUJIFUNZA.:-(
Swali:
- AU?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu Daddy Rahmanu abadili kidogo mchezo kwa -Paddle
Au tu hebu Daddy Rahmanu amalizie tu kwa ndude-Etu
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
"KILA mtu ana KITU tofauti awezacho KUKUFUNDISHA!"
Nimependa kichwa cha hari hiki....
@Yasinta: Na mie napenda hata kichwa chako yani!
Post a Comment