Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mgeni njoo WENYEJI tupone,....

>> Tuesday, June 14, 2011

.... kwa mwenye nyumba bado huwa inamchezo wa kuharibu BAJETI.:-(

Swali:
  • SI unajua KUKU wa KRISMASI anaweza kuchinjwa kabla ya KRISMASI kisa wageni wamekuja?


Lakini,...
... MGENI njoo tu,...
... kwa kuwa mara kibao UGENI wako kama unaharibu bajeti ajuaye ni yule inayemkosti ila siye watoto angalau KOKAKOLA twala na kwa siku moja msosi mzuri twala.:-(


Swali:
  • Wakati umetembelea mtu hujawahi kustukia kuwa labda wewe kwa uliyemtembelea ni GHALI?
  • Na si inajulikana kuna maswala ya gharama  kama alipiaye ni BABA mwenye nyumba sie wengine presha zake hapo nyumbani hatuna hata kama presha za leo kwa MAMA mwenye nyumba alipiaye ni kuwa MGENI kaja?


Ndio,...
.... jinsi ya mtu anavyochukulia jambo,...
... kunaweza kufanya baadhi ya MTUZ kutostukia kuwa UGENI wa mtu labda sio GHARAMA tu'..
... kwa kuwa MGENI anaweza kutoa mpaka jibu kwa MKE wa mtu kuwa alikosea KUOLEWA haraka na LIMTU lake!:-(

Ni wazo tu hili MKUU!:-(Hebu Sana adai-Najuta
LL Cool J arudie-I need loveAu tu LL COOL J arudie na-Doin' it


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:31 pm  

Umenikumbusha mbali hapa:-) unakumbuka hata akija mgeni basi unataka kula na mgeni kisa KUFAIDI... Au ngoja labda:-) nikutembelee siku moja niwe mgeni:-Kaka Simon! Wimbo huo wa kwanza mmmhh :-( unaliza...

Simon Kitururu 3:13 am  

@Mrembo Yasinta: Mmmmmmh!

Goodman Manyanya Phiri 5:14 am  

Acha kunivunja mbavu, Simon!!! Hujiamini...nini? Eti...

"... kwa kuwa MGENI anaweza kutoa mpaka jibu kwa MKE wa mtu kuwa alikosea KUOLEWA haraka na LIMTU lake!:-("

Simon Kitururu 5:16 am  

@Mkuu Goodman: Uwezekano huo upo aisee!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP