Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa SIRI,...

>> Sunday, June 05, 2011

... kuna mpaka WAJAMBAO bonge la USHUZI  kilaifu,...
....ingawa LABDA hata hilo wala sio SIRI!:-(

Swali:
  • AU?

Ndio,...
.... kwa siri hata CHUPI nzuri impendezayo  MPENZI,...
... labda siri yake ni kuwa mpenzi hiyo CHUPI inambana na kama MPENZI ananukia vizuri labda hiyo CHUPI  YAKE usiiinuse aisee!:-(
Swali:
  • AU?

Ndio ,...
... labda mara kibao SIRI ,...
.... haki ya nani sio SIRI!:-(



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA !:-(

Hebu Marlaw a....- Pii Pii




Marlaw katika kubembeleza afyatue -Bembeleza




Au tu hebu AUDIUS asogeze chupi kwa mbele YA  pembeni kidogo TU  ya sehemusehemu kwa - Muchandiona



0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP