Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ya DUNIA: Voodoo and Vaccines

>> Wednesday, June 22, 2011

Mie chichemi,....


SAMAHANI ngojea nicheme tu njomba,...
...kuna utamaduni unakufa HAPO!:-(

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 4:13 am  

Wewe umekufuru sasa! Yaani tuache voodoo tufuate sindano za Wazungu???


Haiwezekani, Mtakatifu Simon!


Mimi binafsi nampenda Angélique Kpasseloko Hinto Hounsinou Kandjo Manta Zogbin Kidjo!


Wengi wanamjua kwa "Angelique Kidgo!"


Kwangu anasauti nzuri kuliko wote wanawake duniani hii ya Mungu!

Simon Kitururu 4:20 am  

@Mkuu GOODMAN:Mie hata sijasema kitu nimewakilisha tu jinsi BENIN wanavyosifiwa kwa kuacha VOODOO:-(

Rachel Siwa 6:23 pm  

Jamani kaka Manyanya yaani huyo kidjo ana sauti nzuri kwako kuliko Wanawake wote? haya msalimie dada yangu Segito!!!!!!!

@kaka wa mimi Mtakatifu leo nimebadili uitaji kidogo, Pamoja!!

Simon Kitururu 1:41 am  

@Da Rachel:Nimestukia!:-)

Goodman Manyanya Phiri 3:20 am  

@"Swahili"

Naweza kabisa kusema Kidjo ameniloga kwa voodoo: kila nikisikia wimbo wake wowote ule masikio yangu mithili yale masikio ya mbwa HUSIMAMA TU... tena kwa makini!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP