Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ya DUNIA: Dada kamuoa DADA na MKAKA sio siri kaolewa!

>> Thursday, June 02, 2011

Safari hii MAMBO ya MPWITO yako CHICAGO,...
... ambako,...

...Lakeesha Harris na Janean Watkins waliwahi mstari aisee katika hili LAKUCHUMPA ndude,...


...DEKU mwenyewe....
...huku UKISIKILIZA yasemwayo...
Wakati hawa yasemekana bado kisheria walichofanikisha sio NDOA,...Swali:
  • Hivi KUOA na KUOLEWA maana yake ni nini?

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 9:20 pm  

Naam! Naam! Wamechoka na madume aiseee!

Simon Kitururu 3:41 pm  

@Mkuu Goodman: Ndio hapo? Ila siku hizi kuna silaha za bandia nasikia na kwa kuwa DUNIA yenyewe mpaka FEELINGS za watu ni bandia ,...
.... BANDIA hata kimahusiano dildo inatosha kwenye kazi hata za uume kiasilia!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP