Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Samahani MHESHIMIWA ngojea mie niende CHOONI kukojoa!:-(

>> Wednesday, June 22, 2011


Tahadhari MSOMAJI : Wazo LIMEPINDA!:-(


Naanza taralila;....


....Na kwa kuwa kuna WATU wamesababisha choo kidharauliwe,...
.... basi nakokwenda kama ni CHOONI ingawa kila  MTU yoyote anauhakika kila MHESHIMIWA huwa anaenda choooni,...

....ila choo saa nyingine labda BADO  ni kweli  CHOO hujajiwa VIBAYA kutokana na HESHIMA za watu  zisivyoheshimu VYOO labda ni mpaka  HUFANYA kuna WATU kwao HUFANYA kuna  vitu  kama CHOO kwao kwa kuwa ni  visivyo sahihi kwa kuwa huwa wanavioanisha na MPAKA wakumbukavyo wawaheshimuo  WATU WAZIMA ambao WAKIJINYEA hujaribu kufanya iwe ni kama  na sio ni KWELI mtu MZIMA haki ya nani  vile KIUTU UZIMA VILE   kajinyea ,..
... kwao hujaribu kubadili  iwe MHESHIMIWA KAJISAIDIA  na kama MHESHIMIWA KALEWA watadai  tu  kuwa MHESHIMIWA anaumwa kichwa au kalewa tu katika tukio HILO!:-(

Swali:

  •  SI inasemekana HATA PADRE hutetewa na mpaka BIBLIA tukiachilia ASKOFU?
  • SI shekhe hata udhaifu wake labda ni mwiko kuusikia au kuujadili kama unadhalilisha ili kiheshima  zaidi ya SHEKHE hata kama zaidi ya hiyo ni dini ndio kitetewacho??
  • Hivi unafikiri wamuheshimuo MHESHIMIWA wakistukiwa hata kwa bahati mbaya kuwa MHESHIMIWA anafirwa  na katika jamii ya wa  wachukiao wasenge au kama UHESHIMIWA wa MHESHIMIWA utachafua KANISA au tu KITONGOJI kwa MHESHIMIWA kujulikana wajanja wanamuonja sehemu za nyuma   unafikiri WATETEAO UHESHIMIWA  amabao nao ni waheshimiwa watamteteaje?


 DUH!
Labda ngojea niende CHOONI.!:-(

Swali wakati naenda  chooni :
  • Hivi  BADO unasubiria pembeni ya CHOO ili  nitoke chooni?
  • Ondoka basi-Nikijamba je KAMA nikienda CHOONI  wakati BADO unasikilizia nifanyayo  ambayo mengine nafanyia chooni-hivi  kwako ndivyo vitakuhakikishia nilikunya na sikukojoa tu kisa umesikia sauti ya KIJAMBO?

Ndio,...
... samahani waheshimuo WAHESHIMIWA,...
.... kwa kuwa MHESHIMIWA kama hakulalamikiwa NA WEWE  kuwa  ananuka mavi wakati anaingia chooni,...
... labda akitoka CHOONI ananuka bado mavi sio kosa lake na usijifanye ghafla ndio unafinya pua ili GHAFLA TUAMINI umestukia ANANUKA mavi kwa  kuwa labda alikuwa hanukisana wakati anaingia CHOONI kwa kuwa  wakati anaingia chooni  ALIKUWA akinukia mavi ya kuku tu ,...
... na labda ni kosa lako anatoka chooni ananuka mavi ya MTU na MAVI YA WATU saa nyingine  kiharufu yasemekana hayanukii kama PEREMENDE!:-(

Swali kwa MHESHIMIWA:
  • SI unajua mavi ya kuku hayanuki  zaidi ya kinyesi cha MTU hata kama huyo mtu anaendeshwa kwenye bonge la BENZI na sio KIBAJAJI au tukutuku ya staili ya BODABODA?

Samahani MHESHIMIWA,...
... hebu mie niende CHOOONI!:-(

NI wazo tu hili kitaralila  MHESHIMIWA,...
...na naheshima  kwa wenye heshima MKUU!!:-(


Sijui kwanini hebu Samba Mapangala aturudishe NAIROBI ...
.....pale Carnivore halafu adinye -Vunja Mifupa





Sam Mangwana aingilie kati TENA kwa - Maria Tebbo



Au tu Sam Mangwana azime TU  manyanga kwa ndude iliyotuna na kulowa tayari bila kuchezewa ile
- Kabibi


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 6:17 pm  

Kaenda msalani,kajisaidia,yupo bafuni,kaenda kuoga,kutawaza,kunawa,kuchamba, duuhhhh!!!!!

Simon Kitururu 1:41 am  

@Rachel: DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP