Swala la LADHA labda huweza kufanya kuna apendaye BAMIA kama NYAMA!
>> Thursday, June 30, 2011
Na kiladha,...
.... kuna wapendao MDUNDIKO zaidi ya BONGO FLEVA,...
... na kiladha zaidi wameoa MZUNGU!:-(Swali:
- Si unajua LADHA ni moja ya DANGANYA TOTO iwezayo kufanya mwenye ladha ya BONGO FLEVA kujidanganya kucheza SINDIMBA hadharani kwa wachezao SINDIMBA hadharani sio UJANJA?
- Na si inasemekana kuna MPENDA NYAMA awezaye kufikiri ladha ya KISAMVU sio TAMU?
Ndio,...
.... maswala ya LADHA ingawa husahaulika saa nyingine kwa BAADHI ya watu,...
... huweza kudanganya MTU kuwa LADHA ya avionavyo yeye ni vitamu,...
...vitamu ni hivyo tu au vifananavyo na hivyo tu,...... ingawa ukweli ni kwamba MPENDA samaki labda ladha ya MAHINDI ya kuchoma kama tu mpenda KHADIJA awezavyo kupenda na HALIMA au basha awezavyo kuwa anainjoi usenge pia ,...
...nayo HATA KAMA HUTAKI kukubali kwa kuwa sio LADHA YAKO,...
....bado kuna mtu kwake ni UTAMU tu!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA hata kama limepinda!:-(
Hebu Marvin Gaye akatizie kwa - Lets Get It On
Marvin Gaye anunishe - Heard It Through The Grapevine
Au tu Marvin Gaye azime manyanga tena kwa-Sexual Healing
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mmmmh mi thithemi kabithaaa.
@Edna: Mmmmh!
Post a Comment