Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tangazo:NAFASI ZA MAFUNZO NA KAZI.

>> Monday, June 06, 2011

 


MAISHAMEMA  EDUCATION &  TRAINING  CENTRE  ni  kituo  cha  Elimu, Mafunzo, Utafiti  na  Ukuzaji  Maarifa. Kituo  kinatangaza  nafasi  za  mafunzo  ya  kozi  ya  “ SACCOSS  MANAGEMENT, PLANNING & MAINTENANCE”.  Wahitimu  kupata  nafasi  ya  kufanya  kazi  kama  mawakala  wa  MAISHAMEMA  SACCOSS  itakayo  kuwa  ikifanya  kazi  chini  ya  kituo.

SIFA  ZA  MWOMBAJI:

1.Awe  wa  jinsia  ya  kike.
2. Umri  miaka 18  hadi  45.
3. Elimu  kidato  cha  nne, sita  na  kuendelea..
MUDA  WA  MAFUNZO:  Mafunzo  yatachukua  miezi  miwili. Mwezi  mmoja  darasani, mwezi  mmoja  wa  mafunzo  kwa  vitendo.

.Mafunzo  yataanza  tarehe 20/06/2011  na  yatakuwa  yakifanyika  katika  shule  ya  sekondari PERFECT  VISION kuanzia  saa 9 kamili  alasiri  hadi  saa 12  kamili  za  jioni.

ADA  YA  MAFUNZO:  Mafunzo  haya  yanatolewa   bure.


Fomu  za  kujiunga  zinapatikana  katika  ofisi  zetu  zilizopo  katika  shule  ya  sekondari  PERFECT  VISION  iliyopo  nyuma  ya  jengo la  UBUNGO  PLAZA  kwa  shilingi  ELFU  KUMI  NA  TANO  TU ( Tshs. 15,000/=).

Mwisho  wa  kutoa  fomu  za  maombi  ni  tarehe  17/06/2011.

Wahi   kujiandikisha  mapema,  kwani  idadi  ya  watu  wanao  hitajika  ikikamilika  tutasitisha  zoezi  la  uandikishaji.

Kwa  maelezo zaidi, wasiliana  nasi  kwa simu  namba: 0652458398 begin_of_the_skype_highlighting            0652458398      end_of_the_skype_highlighting begin_of_the_skype_highlighting            0652458398 begin_of_the_skype_highlighting            0652458398      end_of_the_skype_highlighting      end_of_the_skype_highlighting  AU  0788363058 

Au   tembelea  tovuti  yetu: http://www.maishamematanzania.blogspot.com//

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 2:52 pm  

Shukurani mkuu, kwa kutupa huu mchongo, ubarikiwe sana!

Goodman Manyanya Phiri 3:49 am  

safi sana!

Yasinta Ngonyani 5:40 pm  

Ahsante kwa taafifa!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP