Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa NAKUPENDA!

>> Saturday, June 04, 2011

Uchekavyo,...
...napenda!:-(
Uongeavyo ,...
...NAPENDA!:-(
Ujambavyo,...
...simaindi kwa kuwa NAKUPENDA!:-(


Wakuchukiao,...
...hugeuka kwangu pia MAADUI,...
...nakupenda!:-(


Ununavyo,...
....mie naumia,...
... kwa kuwa NAKUPENDA!:-(

Mapengo yako,...
....kwangu mie ni MWANYA,...
... nakupenda!:-(

Ubanwapo ,...
...HATA haja kubwa najisikia kama vile unitume chooni MIE nikakunyee,...
... kwa kuwa nafikiri WEWE hustahili kunya ,...
..... mie  aiseeee NAKUPENDA!:-(

Swali:
  • SI unajua kuna wakuchukiao kwa kuwa tu unachukiwa na MARAFIKI ZAO wapendwa?

Na kwa akuchukiaye kama NGIRI  ,...
... labda hata uwe na tako zuri vipi KIKE   hata katika kwaliti za abonyezaye na sio kuliangalia tu wakati limeshikiliwa na SIDILIA YA TAKO ,...


...kwa MWANAUME mwenye NYEGE na haki ya nani WEYE KIMWANA una bonge LA tabasamu,..
.... kwa achukiaye NGIRI ,...


... labda WEWE una MENO kama NGIRI kistaili ya harufu ya CHOO cha stendi kinukacho na KISICHOPENDWA!:-(




Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu tusaidiwe kubadili wazo na Outkast katika - Elevator



Au tu Outkast warudie pia na - Git Up, Git Out




Kabla MANU DIBANGO hajarudisha hoja AFRIKA kwa - AFRICA

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:40 am  

wazo la leo ni bonge la wazo...hakika kupenda ni kitu cha ajabu sana, kupenda kuna nguvu kuliko hata mauti. Jumamosi njema Mtakatifu Simon!!

Simon Kitururu 11:55 am  

@Mrembo Yasinta: Kiwazo nakupenda kwa dhati MDADA! Na kupenda haki ya nani ni kitu chaa jabu ndio maana yasemekana chura hupenda sana inzi!:-(

Yasinta Ngonyani 12:12 pm  

Simon!mmmhh! kaaaazi kwelikweli.Duh! hahahahaha nimecheka kidogo eti chura hupenda sana inzi.

Simon Kitururu 12:47 pm  

@Mdada Yasinta: Natamani kweli ningesilia sauti ya uchekavyo kwa kuwa nahisi unacheka vizuri kweli wewe!:-(

o'Wambura Ng'wanambiti! 2:52 pm  

na mwenye meno akipenda kibogoyo inakuwa shughuli teh teh teh teh teheeeeeee!

Anonymous 11:51 pm  

Aaah aah aah! ni kama msenge apndaye kufirwa, fikiria,anawaza nini kuhusu mwanaume amuingilie nyuma! aah yote nikupenda maana haiangalii unapenda nini na wapi, ila unapenda.. kweli kupenda dah utumwa!

Simon Kitururu 6:03 am  

@Kadinali CHACHA na MKUU Anonymous:


DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP