Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jana NILILEWA!

>> Sunday, June 12, 2011

Na katika KULEWA,...
... BINADAMU huweza LABDA HATA kutostukia kuwa kilevi chake ni DINI,...
.... na  wakati huo kama  ana imani labda kunauwezekano -KALEWA!


Jana NILILEWA!

Na leo LABDA  najaribu ;...
Kuamka,...
...kuangalia UPYA,....
....na kutingisha MAVUMBI  kwenye kitabu cha zamani ,...
...halafu kukifungua na KUKISOMA upya kwa kuwa kama KILEVI,...
... ili ulewe UPYA,...
....LABDA  yabidi upate KILEVI upya!:-(

Swali:
  • Unafikiri JANA hukulewa kitu?
  • Na si unakumbuka kama leo uko soba  KILEVI cha jana ili kikuleweshe upya inabidi labda uhangaike nacho leo tena UPYA hata kama kilevi chako ni IMANI ya dini yako?


Ndio,..
....LABDA  jana NILILEWA,..
... ingawa labda chamuhimu ni leo NILEWE kwa kuwa ulevi wa jana KWA WENGINE kwa leo ni KICHWA kinauma!:-(


















Na ni wazo tu hili MHESHIMIWA ki-KABASELE ya MPANYA!






Hebu tu 2PAC aingilie kati kwa - Keep Ya Head Up



Asawazishe kwa-Shed So Many Tears



Au tu 2PAC arudie tu na - Do For Love

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP