NDIO!
>> Monday, June 06, 2011
Ila``NDIO´´ ,...
...huweza kuwa ni ``HAPANA!´´:-(
... hasa kama kuna MUOGA na weye unayanayoTISHA aisee!
Swali:
- Kwani hujawahi kukataliwa kwa sentensi ``HAPANA'' ambazo kwa kawaida ni bomba za ``NDIO´´?
- Na si labda kuna ``NDIO´´ zako ni hasa kwa kuwa ni muoga tu kusema ``HAPANA´´?
Bisha tu,...
.... lakini labda HATA kwa kupiga deki ,...
.... ina maama mpiga DEKI anajaribu tu KINAMNA kusema HAPANA kwa UCHAFU!:-(
Ni wazo tu hili MKUU!:-(
Jumatatu njema MHESHIMIWA!Hebu Ninja Man arudie kudindisha - Murder Dem
AU tu Cypress Hill waingilie kati kwa kudai wako - Under Mi Sleng Teng
Kabla tu Cypress Hill hawajarudia kidongoloso - Rock Superstar
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment