Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama INAUMA,...

>> Saturday, June 18, 2011

... labda huo ni USHAHIDI uko hai,...
... kwa kuwa maumivu ya jehanamu bado SHAHIDI  kwa walio HAI  aliye HAI labda hayupo!:-(

Swali:
  • AU?
  • Na si inasemekana labda  hata kwa kuwa hai kuna waonao busara hata kwa hilo kushukuru MUNGU WA UPENDO  hata waaminie huwa mpaka anaweza kuchoma WAMKOSEAO wanawe?:-(

Ndio,...
... labda kama inauma labda uko hai ,...
.... na MAUMIVU ni kipimo kuna wakati uulipata uroda au tu KUPATA kutosikia MAUMIVU hata kama sio kiuroda!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
JUMAMOSI NJEMA Mkuu!:-(

Hebu SADE alainishe kwa -The MOON and the SKY



Au tu SANTANA aisogeze pembeni kidogo tupate kuchungulia akaaye vibaya kwa -Fried NECKBONE and HOMEFRIES

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP