Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Simon 'Mahlathini' Nkabinde!

>> Tuesday, June 07, 2011

Nahusudu tu kazi za huyu jamaa!

Simon 'Mahlathini' Nkabinde, 1988




Na bila kuwasahau Mahotella Queens
 



Hebu waendelee kutugawia shughuli:
Kazet

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 6:27 pm  

kaka wajina wako huyu kiboko!!!!

Yasinta Ngonyani 8:19 pm  

Rachel umeniwahi! Simon:-) labda jina hili la Simon ni kiboko..

Goodman Manyanya Phiri 3:01 am  

Marehemu huyu ni mzaliwa wa mji mmoja jimbo la KwaZulu Natal: mji mwenye jina la New Castle. Wala sio mji mkubwa sana Afrika Kusini, bali ni ule ukubwa wa Morogoro au mji wa Iringa aisee. Lakini...


... Mji wenyewe unakipaji kimoja tu: Wanamziki wenye sifa wengi sana wanatokea mji huohuo na kuyiangusha kabisa Johannesburg ambao ni mji mkubwa kuliko yote Barani Afrika!


Miaka hii amevuma mwanamziki mmoja, L'vovo Derrango http://www.youtube.com/watch?v=PiVmW_BC5Vs&feature=related

naye mzaliwa wa hukohuko New Castle.


Hapo juu anatoa nyimbo zake mbili: "BAyaNGIsukela"= "WAnaNIchokoza", pia na "RESISTA".


Hata kwa wale wanaopenda nyimbo aina ya Reggae, watafurahi kujuwa mpendwa wao (Marehemu) Lucky Dube INKABA YAKE ISE-NEW CASTLE= "TOVU YAKE IKO-NEW CASTLE" (Yaani, ni mzaliwa New Castle, kwa msemo laini waKizulu).


Kafushane, ngo kubonisa amasiko oMwafrika: Sibonga kakulu, Simon, BIZO ka Nkabinde, njengoba eshilo uDadewetu Rachel!

Kifupi, kwa kuonyesha utamaduni waMwafrika: Asante sana, Simon, WAJINA wa Nkabinde, kama alivyosema Dada Rachel!

Simon Kitururu 2:07 pm  

@Rachel: Jamaa Kiboko!

@Yasinta: Duh!
@Mkuu Goodman: Asante kwa shule hii na huyu jamaa L'vovo Derrango nilikuwa sijawahi kusikiliza kazi zake!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP