Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama kuna UANGALIFU wa SHEKHE UBWABWA au hata wa kibonge la TOTO UZURI kilokole!

>> Sunday, June 12, 2011

LABDA tatizo ni:


KIBINADAMU,...
.... uangalifu  wa BINADAMU ni wa KIBINADAMU!:-(


Swali:
  • SI unakumbuka BINADAMU kwa kawaida sio MALAIKA?
  • Na je unauhakika BINADAMU na uangalifu ni vitu vilandanavyo kimswano?

Na labda KIBINADAMU,...
.....uangalifu una ya KIBINADAMU madhaifu aisee hata kama hapa tumuongeleaye ni MUANGALIFU mchungaji MLOKOLE au hata SHEKHE UBWABWA!:-(

Swali:
  • AU?
Ndio,...
...inasemekana kuna WAANGALIFU hapa DUNIANI,...
... ingawa kila nikichunguza nahisi kukaa kushoto kama hilo swala na washabiki wake wamekaa KULIA!:-(


NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA!
JUMAPILI NJEMA WADAU kutoka kwangu mie SHEKHE Ubwabwa!:-(

Au hebu N.O.R.E. waingilie kati kwa - Nothin'
NA labda tu MANU DIBANGO aihamishe kidogo kwa-New Bell


6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:08 pm  

Mh! jumapili njema nawe pia!!!

SIMON KITURURU 4:13 pm  

@Mtoto mzuri Yasinta: Asante mtu wangu! Karibu lakini makande ! Leo nimefanikiwa kufanikisha kutoa MAKANDE stereo!:-(

Yasinta Ngonyani 5:37 pm  

Ahsante kwa makande Simon!!

SIMON KITURURU 6:38 pm  

@Mdada Yasinta: Nimatumaini asante hiyo hukuibania pua!


Ntakukaribisha tena kesho ! Nimepata unga wa muhogo kitu ambacho sijawahi kukipata miaka Makumi kadhaa!:-(

Utakuja nikikurabishia ugali wa muhogo tuchovye?:-(

Mcharia 8:29 pm  

Makande stereo!!! Mono sijui yakoje.

Yasinta Ngonyani 10:31 am  

Kama ukitaka nije kula huo ugali wa MUHOGO basi ni lazima uwe na samaki wabishi na ukikosa basi uwe na matambele na ukikosa hayo basi uwe na kisamvu la sivyo acha tu:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP