Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tangazo:Radio yawa Tanzania wote popote Duniani-TONE INTERNET RADIO

>> Sunday, June 19, 2011


JINA LA WEBSITE: TONE INTERNET RADIO

LINK:
http://www.toneinternetradio.blogspot.com

Tunapenda kulitambulisha watanzania wote waishio popote Duniani kwamba kuanzia sasa wanaweza sikiliza Radio kupitia mtandao yani Internet Buree. Tumeona tufanye hivi kwa kutambua kwamba pamoja na kuwa watanzania wengi wapo hapa nchini na wengi wao kwa sasa wanatumia mtandao na wanapenda sikiliza Radio kupitia mtandao, lakini pia tumezingatia na watanzania wenzetu wanaoishi nje ya nchi wapate Burudani, Habari na mambo mengine mengi kutoka Tanzania. Kupitia Tone  Internet Radio watakuwa hawajisikii upweke na kuona kama wapo Tanzania. Pia Tone Radio inawapa wasanii wa Muziki wa aina yoyote Tanzania kuleta nyimbo zao hapa studio na sisi kutangaza kazi zao bure kwa kututumia nyimbo zao kupitia toneinternetradio@yahoo.com

Karibuni sana nyote na pia ukisikiliza Radio mwalike  na mwenzako. Pia tunapatikana katika Facebook profile yetu Tanzania Online-Radio

T
unatanguliza Shukurani Zetu za Dhati na karibuni sana...
Tone Internet Radio 

Pamoja Tutafika!

-Sillah Mbuya


----------------------------________________________---------------------------

Mie Simon Kitururu nimefikisha tu TANGAZO!

Na baada ya kulipata TANGAZO hebu tuendelee na HAUSI MUZIKI kutoka AFRIKA ikipindishwa na BLACK COFFEE....
....moja kwa moja hebu BLACK COFFEE aanzishe kitu kwa -CRAZY




Black Coffee akiwa na Hugh Masekela aendeleze kwa-We are one



Au tu BLACK Coffee amalizie kwa -Come to me

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 2:28 am  

Hii imenikuna japo Daah!!!...BREAK) mimi napenda Gospel.

Ila, nitafanya kitu kama hicho kwa ajili ya MUNGU kadri mambo yanavyoendelea kufunguka.

NINAKUAHIDI KTK JINA LA YESU.@ RASTA-SIMON.

Simon Kitururu 1:18 am  

Rasta Mcharia: Fanya Mkuu kwa kuwa usije kutuahidi sie BINADAMU wakati kazi zako ni za MUNGU Rasta!

Simon Kitururu 1:20 am  

@Rasta Mcharia: By the way Napenda sana Gospel Ila nafikiri Dada yangu Joyce alizipenda kweli na nafikiria ndio kwenye Gospel akaingia Usabato halafu huko ndiko James Gayo yule Katunisti wa KINGO ambaye kwa ma acapella kiboko akamdaka na kilichozaliwa ni undugu uunganishwao na watoto wawili!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP