Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Utamu uchokonolewao na KITU bandia!

>> Sunday, June 05, 2011

Kitu bandia ni KITAMU,...
.... kama  utamu  kwa aliyejifunza kusikilizia kuwa NANIHII tamu NANIHII yenyewe ni BANDIA!


Swali:
  • Si siku hizi kuna wapenzi hata wa Rihanna na Lady Gaga katika miziki?

Ndio,...
... katika ya BANDIA,...
.....kuna mashujaa wake na ndio maana kwa wadada DILDO ni dili pia,...
.... kwa kuwa utamu asilia wa kuku wakienyeji WAASILIA ALIYEDINDA yawezekana NYAMA YA KUKU ngumu kikumegwa,...
... na ndio maana  LABDA kuna MPAKA  washabiki wa mayayi ya kuku WAITWAO ni wa kizungu na nyama ya bata ya kwenye kopo ambao wajifikiria ni WAJANJA huenda kuwanunulia mpaka kwenye SUPAMAKETI!:-(


Swali:
  • AU?

Ndio,...
.... BANDIA tamu  pia ,...
.... ndio maana  BIASHARA za vifaa vya CHINA  kuna wapenzi!



Ni wazo tu hili BINGWA!

Hebu Alicia Keys , SWV , En Vogue na TLC waingilie kati,...




En Vogue wabakie pekee uani katika mtuno wa chupi- Hold On




Halafu sijui kwanini hebu tu naye Michael Jackson arudie -Human Nature




Au tu hebu Michael Jackson arudie kucheza sindimba,...



Nipo,....
....:-(





































































2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 12:36 am  

Hamna mtu anayependa bandia; lakini kama kitu chenyewe huna utafanyaje?


Kwa mantiki hiyo hata mimi napenda bandia na mtu akidai hata baada ya maangalizi yangu eti mimi simjui Alicia Keys atakuwa mwongo huyo!


(lakini nimetumia bandia ya Alicia Keys kupitia mtandao ulienipa, Mkuu)

http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=vvP3_CbGODU

Simon Kitururu 3:03 am  

@Mkuu Gooodmana :


DUH!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP