Kwa kuwa LABDA kelele ni UKIMYA,....
>> Tuesday, June 21, 2011
.... kama MTU kaziba sikio!:-(
Swali:
- SI inasemekana KELELE kwako labda ni UKIMYA kwa mtu asiye na sikio zuri?
Kwa hiyo kama ni KIMYA kwako,...
... LABDA kumbuka kuwa TEMBO anasikia!:-(
Swali:
- SI unajua kuna sauti za TEMBO ambazo MTU hasikii?
- Na si ukifumba MACHO labda ni wewe tu USIYEONA?
Ndio,...
.... labda kusikia KELELE na kuona YATISHAYO,...
.... ni maswala ya mtu BINAFSI!:-(Ni wazo tu HILI Mkuu!:-(
HEBU tupumzike kidogo kwa kwenda Brazil tena kufikiria haki za wanawake kujishebedua ni kwa ajili ya STAREHE za akina nani....
Au tu Isley Brothers waisogeze pembeni kidogo kwa-Between the sheets
Au tu The Notorious B.I.G. achezee tena wimbo wa Isley Brothers katika-
- Big Poppa
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment