Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ngojea tu Michael Jackson aichezee!

>> Thursday, June 16, 2011

Mmmmh!



Mmmmmmmmmhhhhhhh!


HALAFU  tu  JAMAA HUYU labda    aumize uvundo kwa kuikausha UTOKO kwa - Don't Stop 'Til You Get Enough


7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 12:28 am  

kaka vipi unakumbuka enzi za kucheza robot, vipi wewe ulicheza au kusikia?

Simon Kitururu 12:34 am  

Nakumbuka Rechal na nilicheza aisee!

Vipi lakini kwa ko hukumzimia angalau mvulana fulani kisa anavyocheza?

Goodman Manyanya Phiri 4:19 am  

Huyo Jackson hakuwa basi mtu wa kawaida! Baada ya kuona hiyo video ya kwanza ndipo naelewa sababu kwa watu kumpenda "kichizi" yaani!

Simon Kitururu 4:44 am  

@Mkuu Goodman: Jamaa taka usitake alikuwa uniki kivyake! Na nafikiri angefariki kabla ya maskendo yake kuna baadhi wasingestukia kuwa alikuwa na udhaifu wa kila mtu tu!:-(

Faith S Hilary 5:36 am  

Hata "wanaogeza" (au kuigiza...mmh Kiswahili) hawapatii kama yeye...ila kwani yeye ndio anayepatia tu...au kuna "bingwa" zaidi yake?...nimepita tu

Simon Kitururu 5:41 am  

@Mtoto mzuri Candy1:

Halafu Candy1 ulinitenga kweli muda mrefu!:-(

Ila jamaa mambo mengi alikuwa anafanya kivyake kwa hiyo kutafuta bingwa zaidi yake ni kitu kisichowezekana .

Labda tutafute tu nani bingwa katika wamuigao! Na KATIKA HILO ukiniuliza MIE sina jibu bado!

Yasinta Ngonyani 10:58 am  

Nadhani hakuna atayeweza kucheza kama Michel ...mmmhh LABDA si kuigiza tu na mwisho huyoooo ngoja nianze....

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP